Search This Blog

Sunday, August 29, 2010

Vodacom Miss Tanzania

warembo wa Miss Tanzania 2010 wakiwa ndani ya mapango ya Amboni Tanga
hawa ni baadhi tu ya maMiss.
hapa ma Miss wakiwa wanatembea ndani ya mapango ya Amboni mkoani Tanga,
wakijionea mambo yaliko ndani umo.
hapa baada yakutoka Ma Miss Vodacom ndani ya mapango wakipija picha
ya pamoja na watoto,ambao nao walienda kutembelea mapango hayo ya
Amboni.

No comments:

Post a Comment